Zaidi ya shule 22,800 zilipatiwa vifaa vya kidijitali milioni 1.17, ingawa shule 216 pekee ndizo zilizo na mtandao wa intaneti wa kuaminika. Ann Kibara, mwalimu mkuu wa shule ya Ng’ando, jimbo la ...